Monday, November 12, 2012

JINSI YA KUSAFISHA CD NA DVD DISC



Kwa nini? CDs chafu inaweza kusababisha kusoma makosa au CDs kusababisha kutofanya kazi wakati wote.

Utaratibu: Kusafisha CDs na DVDs ufanyike na “kit ya kusafishia” au unaweza kufanyika kwa kitambaa safi cha pamba (cotton). Wakati wa kufanya hivi kwa kitambaa safi cha pamba, futa kuanzia katikati ya CD au DVD na kuifuta kwa upande wa nje kama inavyoonekana katika picha hapo chini. Kamwe usifute kwa mzunguko; kufanya hivyo inaweza kuweka scratches(mikwaruzo) zaidi juu ya disc.





Inapendekezwa: Wakati kusafisha CD  maji yanaweza kutumika. Hata hivyo, kama kitu kilicho gandia CD hakiwezi kuondolewa kwa kutumia maji, spirit au Alcohol pia inaweza kutumika.

0 comments:

Post a Comment