Thursday, November 1, 2012

MASWALI 5 MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUNUNUA KOMPYUTA.

Watu  wengi wamekuwa wakipata tatizo kutambua Kompyuta ipi wanunue na kwa wakati gani? Yafuatayo ni maswali (5) muhimu ya kujiuliza kabla ya kununua Kompyuta yako.

1. Kompyuta hiyo ni kwa matumizi ya Ofisi, Nyumbani au Binafsi? 

2. Je ni laptop au Desktop? 

3. Je unahitaji kompyuta Mpya Au Used ? 

4. Ukubwa wa Hard disk drive (hdd), memory (Ram), Processor Speed

5. Bei ya kompyuta unayoitaka? 

Ukiweza kijibu hayo  maswali matano kwa ufasaha, basi wewe tayari utakuwa umetambua kompyuta itanayokufaa.


 

0 comments:

Post a Comment